Changudoa Morogoro hatari!!!!

Mkuu nikifika Moro nijitahidi kukwepa hiyo mitaa kwani Biblia inasema ikimbieni zinaa na sio kupambana nayo.

Kahaba unaweza kukutana nae popote bila kujua kirahisi, siku hizi hawajipangi kwenye road kama zamani.
 
ila kwa sasa boom limewapunguza mtaani,,,hata hawa ndugu zetu tunaowaita wasomi duuuh wanajirahisisha mno
 
Vyangudoa wa moro ni wakuwaogopa kama ukoma!!Malima anajua habari yake
 
Mzee ukaona aiiibu kusema kuwa ni wewe yamekukuta haya. Asante kwa tahadhari hata hivyo
 
Hivi hata Moro kuna Vyangudoa
ha

Moro ndo makao makuu ya vyangu doa, wanaweka dawa za kulevya kwenye nyonyo, shimgoni na hata sehemu nyeti. Kama wewe ni mroho wa rambaramba hata uwe mrokole utalala wiki nzima umelewa na kufagiliwa kila kitu
 
Acheni hizo jamani, nani alijifunza kuendesha baiskeli bila kudondoka. Jamaa na mpongeza anazidi kuchukua maujanja na experiences. Ukweli hao wadudu wanatusaidia sana tunapokuwa na Ukame.
 
pale nyumbani loubge kihonda bima wapo siku hizi ata breakpoint bar pale msamvu kwa mbele kama waenda iringa wapo. ila wale wa four star sasa wamehamiatushikamane
 
hahaha hiyo ndio zawadi ya malaya kachukua chake safi sana wajinga ndio waliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…