Adrian Stepp R I P Joined Jul 1, 2011 Posts 2,764 Reaction score 2,600 Dec 23, 2011 #1 [h=6]Baada ya kumzika changudoa mmoja maarufu, watu walishindwa kuamua waandike nini kwenye kaburi lake.Hatimaye akajitokeza mzee mmoja akaandika; AT LAST SHE SLEPT ALONE![/h]
[h=6]Baada ya kumzika changudoa mmoja maarufu, watu walishindwa kuamua waandike nini kwenye kaburi lake.Hatimaye akajitokeza mzee mmoja akaandika; AT LAST SHE SLEPT ALONE![/h]
Mtego wa Noti JF-Expert Member Joined Nov 27, 2010 Posts 2,706 Reaction score 1,781 Dec 23, 2011 #2 mhhh...hiyo kiboko!
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,848 Reaction score 1,412 Dec 23, 2011 #3 Copy n' Paste!! shughulisha kichwa chako!
StaffordKibona JF-Expert Member Joined Apr 21, 2008 Posts 669 Reaction score 62 Dec 23, 2011 #4 Hii haina spare!!!!
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,000 Dec 23, 2011 #5 du,hii ni noumaaaaaaaaaaaa!!!