Mweeee mweee nendebhule une! Mmmma mmbibhi gwe heee, mmbibhi mwana uju fiki! mpepe kumaso nkikulu uju ..... jo miss uju! po ngamanya na simo ja umiss unneee!
Wanawake wanauzwa kwa kuonyesha urembo na ubora wao, kuna tofauti gani na utumwa? Halafu mnasema utumwa umekwisha? Utumwa upo kilichobadilika ni "modality"
Kwani wanatafuta mazuri ili iweje mwisho wa siku? hilo ni genge la machangudoa. siamimi kama uko tayari umuachie mwanao au dada yako akajiuze eti anatafuta ushindi. jaribu kucheki hao madada wanaojihusisha na mambo hayo utakuta by nature siyo wazuri ila uzuri wao unaanza kuonekana wanapokaa uchi ili kuzifanya akili zihame na kufikilia kuwachapa pia uzuri wao hanza kuonekana baada ya kujipiga mamekap ya nguvu. otherwise hata ukimlala ukimgonga bao moja kutoweza kumrudia kwani utaanza kujutia maamuzi yako.