Changia Damu

City garden ya pale karibu na Imalaseko DSM!? Mbona ilishafungwa!
 
Hiyo picha ya katikati sasa... Eti ndo wanajifanya kuwatambua masela, wakati deile wanawaponda ni wahuni...
 
Kweli wenye tangazo hawajui watanzania!! Akili zote ziko kwenye unga wewe unafikiri kuna mtu atajitokeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…