Changia damu okoa maisha

Changia damu okoa maisha

Haematology

Member
Joined
Jan 7, 2019
Posts
18
Reaction score
9
Leo 14/6 ya kila mwaka ni siku ya mchangia damu kwa hiari.Kwa ambao mnaweza mnaweza kusogea kwenye sehemu wanazotoa ili kuchangia. Siku njema kwenu nyonte
 
Labda huyo mgonjwa alicheweshwa uletwa kupata huduma hiyo ila ww ulikuwa na nia ya kweli Mungu atakubariki kwa upendo wako
Unaweza ukatoa damu kwa moyo mkunjufu kabisa halafu hapo hapo utashuhudia mtu anakufa kwa kukosa damu..

Utajiuliza tunakwama wapi utakosa jibu..
 
Back
Top Bottom