Changes are around the corner lets we go a head | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changes are around the corner lets we go a head

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Jan 7, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  To all real freedom fighters,
  haya yanayotokea Arusha ni ushahidi tosha kuwa mabadiloko yanakuja nchi kwetu, True freedom real Independence is coming.

  Tukirejea historia inaonyesha kuwa kwenye mapambano kama haya ushindi upo unakuja, lets learn from Kenya na kwengineko kote, hata wahenga walinena "amani ya kweli haipatikani mpaka kwa ncha ya upanga"

  Kwa wanaharakati tusikate tamaa wala kuogopa ushindi unakuja very soon japo serikali na viongozi wanahitajika kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha damu haimwagiki bila kuwepo kwa sababu za msingi na pale inapoweza zuirika hatua stahiki zichukuliwe

  Bravooo CHADEMA, Bravooo CUF Bravoo freedom fighters
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Umemaliza darasa la ngapi ndugu yangu. Naona kiingereza kwenye TOPIC kina malyenge.
   
Loading...