Umeshabadiri au Kirondomara?
Ila mie sina uhakika kwani ukibadili jina old posts zako zitaondoka?
As umejitangaza wengine kama sie itakuwa rahisi mtu kukufatilia kama anataka kwa kuangalia mengi. Ulijiunga lini activity zako za jina la zamani hadi dakika za posts zako etc
Sasa kwa usalama wako wasiliana na Invisible pia muombe akusaidie kudeleta chochote kitakachokuweka bado katika jina la zamani.
Ila kwa nini hukufungua account ingine ukawa na MBILI ya wewe uiache na ya ubaya?