we Tumain,nimesoma sana mbembewe zako.unajifanya unajua sana,kutetea mafisadi,au wewe hela zako zinatoka uarabuni,kwa hiyo kwako watanzania wakifa na umaskini wewe hu maindi,au una mashemeji hapo ccm,wanakulisha na kuku chambisha.mbona una kuwa kama kiopofu vile,au wewe umeishia kukaa kule oysterbay,uanona kila kitu ni poa tu kama uko ulaya vile.usha wahi kufika kijijini uakona watoto wanavyo teseka na maisha badala ya kwenda shule?usha ona wakina mama wanatembea mpaka miguu imeota sugu kutafuta maji?au bado kwako kila kitu ni sawa tu ,kwa sababu hela zina mwagika tu kule barclays?next time think twice before you vomit your nonesence here.to hell with you mafisadis.