Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
Dah mkuu nimekupata sana tena sana .Nilikuelewa mkuu. Naomba nikwambie kitu mkuu kiumbe anayeitwa Mwanamke hachana nae kabisa hata ungemfanyia nini umfanye mpaka atoke damu mkuu ni kazi bure. Tuzidi kuomba tu yasitukute maana katika kufatilia kwangu nimeona hakuna namna unaweza kumfanya mwanamke asikazwe nje miaka yote ya ndoa yako.
Kama ilivyo kwako hata wao wanatamani sana. Nitakupa mfano. Nina Jirani yangu wake zetu waligombana kisa jirani kamtongoza wife wngu mimi nilipojua nilipuuza maana niliambiwa wamekataana na hata kama ningejua kala nilikuwa nideal na wife na hakuna namna ilikuwa ni kumuacha tu huo ndio msimamo wangu. uwezi kuamini mke wa jamaa alikomaa na mmewe ili waje kwangu kumuuliza mke wangu na walikuja usiku wa manane mie nilichukulia poa tu na mke wangu alifikiri Sikuwa nimeishaiijua hiyo issue.
Basi mme wa jamaa alishangaa alipoanza kujiapiza na wife anakazia kuwa ame mtongoza na kumuitia mashahidi mie nilibaki nacheka tu.
Siku mbili mke wa jamaa alinipigia Simu akiomba anione na tulipoona aliomba kutombwa si kitu kingine .
Nikataka nijue issue ni ile au ni kitu kingine? Kaka niliambiwa mambo mengi sana . Kumbe mme akija amelewa uwa amkazi kabisa na wanaweza kumaliza mwezi no sex aisee nilichoka.
Tena ubinafsi uliopitiliza...we unataka wake wengi ubadili badili flavor, ila unataka mkeo abaki na hiyo hiyo ya kwako...acha ubinafsi
Kabisa mumy! Na ndio hivyo wanapasuka misamba.Wanaume huwa mnajitutumua tu, ila ukweli ni kwamba hili suala hamliwezi basi tu kuiga nya ya tembo.
Ukiwakuta vijiweni na humu jf wanavyojazana upepo utafikiri imo, wakati katika hali halisi hata wake zao kuwatosheleza wameshindwa.Kabisa mumy! Na ndio hivyo wanapasuka misamba.
Ubinafsi mbaya sana huu, kama wanataka kubadili flavour basi wakubali tu kuwa hata wanawake wanachoka flavour moja.we unataka wake wengi ubadili badili flavor, ila unataka mkeo abaki na hiyo hiyo ya kwako...acha ubinafsi
Haswaaaa.Tena ubinafsi uliopitiliza...
Yaani wakiongeza mke wenzie watawapigia tu hamna namna....
huhuhu hahaha hihihi hohohoWanaume huwa mnajitutumua tu, ila ukweli ni kwamba hili suala hamliwezi basi tu kuiga nya ya tembo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]we unataka wake wengi ubadili badili flavor, ila unataka mkeo abaki na hiyo hiyo ya kwako...acha ubinafsi
Na usaili ukifanyika watakakidhi vigezo basi ni 1 kwa milioni.huhuhu hahaha hihihi hohoho
kumbeeee inabidi tujifanyie usahili mara mbili mbili je tunaqualify ? katika hili...
mimi naonelea kuwepo na vigezo maalumu vya mtu kuongeza jiko la pili
usiwe tu kiholela holela[emoji87] [emoji87] [emoji87]
maneno kuntu kabisaaaaKuchepuka ni hulka ya mtu, kama mtu ana tabia hiyo hawezi kuacha ata akiolewa peke yake. Kwasababu kabla hujaketewa bi Mdogo utakua umeshashirikishwa kwa mwanamke mwenye staha hawez kufanya hivyo lakini kama uliolewa mrad na wewe uonekane umeolewa hayo ndo matokeo yake
Dah mkuu mchango wako una uzito sana kwa wenye kuelewa nafkiri watakuwa wamekuelewa ,kinyume na hapo basi ubishi ni Hulka yaoilikuwa zaman tusemen tu ukweli.. kwa zama hz.. chips yai wa kuku wa sindano.. kurizisha wanawake wawili ni ndoto.. tena kwa ratiba.. lazima ufyate..!
Hahahaha espy. wallah ww sio mzima unahitaji maombiiiiiUbinafsi mbaya sana huu, kama wanataka kubadili flavour basi wakubali tu kuwa hata wanawake wanichoka flavour moja.
#siomimininature#
Ni sawa kabisa na ndomana dini ikasema kwa mwenye uwezo ,Na usaili ukifanyika watakakidhi vigezo basi ni 1 kwa milioni.
Kumbuka hapa kigezo ni zaidi ya kitandani uwe na nguvu ya kiuchumi pia.
Kweli kabisa,na visukari plus pressure!! Waache wajitutumue tu watuache wajane.ilikuwa zaman tusemen tu ukweli.. kwa zama hz.. chips yai wa kuku wa sindano.. kurizisha wanawake wawili ni ndoto.. tena kwa ratiba.. lazima ufyate..!
Ufanyeje?! Oa mwanamke mmoja ndo suluhisho.Na inaonekana ndicho kinachofanyika
sasa tunafanyeje mzee maana nyama moja inachosha ....
Yaani kama ambavyo huwa mnaihubiri haki sawa likija kwenye suala la pesa, mtusaidie kusambaza na ujumbe huu.Hahahaha espy. wallah ww sio mzima unahitaji maombiiiii
Na ndio ukweli wenyewe ila inachekesha aisee wanapoanza kuja na kulalamika wakati wameyasababisha wao.Ukiwakuta vijiweni na humu jf wanavyojazana upepo utafikiri imo, wakati katika hali halisi hata wake zao kuwatosheleza wameshindwa.
Si walijifanya kushindana na Mungu sasa wanaumbuka, acha wajitutumue tu. Ila ukisikia unasaidiwa kuwa mpoleee tena muheshimu mume mwenzio.Ni sawa kabisa na ndomana dini ikasema kwa mwenye uwezo ,
Inamana uwezo wa kuwatimizia haja za mwili ,na mavazi na matumizi,
ila hiki kipengele kimekosa usimamizi na ndomana imefika mahali ndoa za mitala zimekuwa mwiba ...
wito wangu kwa viongozi wa dini (kiislam) waliangalie hili kwa umakini .
maana kwa sasa mtu akiwa na vijisent vya kubadilisha kauzu anaowa mke wa pili. wakati nguvu za kiume ni ndogo hata uyo mmoja hamridhishiii