Huwa wanapigwa ndeleHebu tuambiane mlio katika ukewenza ,mmewezaje?mimi siwezi maana nataka mwanaume awe na mimi muda wote na nikimpenda mwanaume awe karibu yangu kila saa kila muda,na ninataka kila saa anipe mambo sasa ukewenza nyie mnawezaje hamna hamu au?inakuwaje,
Akili yangu inajua nna mme halaf asilale kwangu akalale kwingine ,nnaishi na mwanaume lazima anipe mambo muda wote nikitaka au akitaka nampa,,nikifikiria tu kama ni ukewenza yupo na mke mwingine nahisi nyege ajabu nataka itakuwaje[emoji23]
Basi kila mmoja atajifanya hajui ukewenza semeni ukweli mlio na wakewenza tupeni ustahimilivu ikitokea na sisi tujue namna ya kurekebisha,maana sioni dalili hata ya kuwaza kumuacha G,ndio kwanza penzi linaninogea kila sehemu,zamani niliokota kokoto sasa nimeokota dhahabu nadekezwa,naringa,napendwa mpaka najisikia raha na furaha
Shoga angu subiri uendelee kuwa nae halafu uje kujua alikua anakudanganya na ushafall in love.
Niko kwenye situation hiyo na nampenda huyu kaka kufa ila ana gf na alinidanganya he's single. Nimekuja shtuka ana gf na anaishi nae jamani. Napambana kumuacha ila nashindwaaa.
Sawa sawa, nimekusoma mzigua..Mume wa mtu hakunaga mapenzi kunakua na kitu mtu anafaidika nacho. Yani siwezi kumpenda mtu nikishajua ana mtu mwingine
Kiukweli kwa kiasi ninachokuelewa sitaki uingie kwenye kundi la ambao wananilaani kwa kuwaumiza, dhambi zangu zinatosha aisee.
Nawashinda wapi mchumba?
Una loyalty fulani ambayo kinasababisha usione uhalisia au unasubiri kitu kijibadirishe chenyewe.
Wenyewe mnasema umenasa. Hupindui.Shoga angu subiri uendelee kuwa nae halafu uje kujua alikua anakudanganya na ushafall in love.
Niko kwenye situation hiyo na nampenda huyu kaka kufa ila ana gf na alinidanganya he's single. Nimekuja shtuka ana gf na anaishi nae jamani. Napambana kumuacha ila nashindwaaa.
Siko powa saa hizi, nikipata nafasi ntakutafuta tuongee one on one, kuna uhalisia inabidi tuuongee.
Ntakutafuta.
Bado aujaja?Hahahahaaa
Bado aujaja?
Ngoja nikutumie kwenye pm chap chap mkuuHujatuma nauli dear
Ngoja nikutumie kwenye pm chap chap mkuu
Hii ni theory ya ndaniHujapitia kusoma moyo wa mtu pia. Jisemee mapenzi yako kwake sio mapenzi yake kwako.
Nawashinda wapi mchumba?
Hahahahahaaa..
'Hivi nilikupaga namba eeh?? Sikumbuki. Na itakua nilikupa namba ya gari maana namba zangu zinapatikana
Nafikiri na mzee wako pia ni kati ya Baba wa kweli Duniani[emoji23] [emoji23]Hahahahahaaa
Ni vyema kuwa unajitambua muhimu ni kuuachia muda ukuponye na uwe msaada pekee nadhani baada ya kitambo kidogo kupita kinachokuumiza leo kitabaki historiaSisaidiki ndo shida. Namuacha mtu nikitaka ila sio pressure from outsiders. Rafiki zangu wameongea wamenyoosha mikono. Nitamuacha I know ila moyo ukiea tayari kama sada hivi..
Natangulia huko utanikuta basi [emoji39], ni Triple 7 au wapHahahahaa.. naelekea kuutibu moyo