AI inatutia ulemavu,yenyewe haijawahi kujengea hizo tofali ndiyo ije iseme hasara zake ni moja mbili tatu,inabidi swali apatikane mtu either amejenga au amewahi kusimamia ujenzi wake atuelimishe.Sisi tunajua faida tuu, kuhusu hasara iulize AI
AI inauzoefu wa kila, itakutafutia uzoefu wa watu waliowahi kushea hizo challenges kutoka platform mbalimbali dunia nzimaAI inatutia ulemavu,yenyewe haijawahi kujengea hizo tofali ndiyo ije iseme hasara zake ni moja mbili tatu,inabidi swali apatikane mtu either amejenga au amewahi kusimamia ujenzi wake atuelimishe.
Mi nadhani ingekaa poa sana tungepata mtu au fundi mwenye kutupa sincere experience, hii ingekua more reliable than AIAI inauzoefu wa kila, itakutafutia uzoefu wa watu waliowahi kushea hizo challenges kutoka platform mbalimbali dunia nzima
π πSisi tunajua faida tuu, kuhusu hasara iulize AI
Shule ya msingi niliosoma tulijengewa na wajerumani kupitia shirika la CONCERN na walifyatua tofali za udongo kwa kutumia mashine zao kisha wakajenga madarasa wakachspia na kupaka chokaa kwa ndani na kwa nje wakachapia na kupiga puchi mpaka leo shule ipo haina hata ufa na ishapita miaka zaidi ya 30Dah hili jamvi limekosa kabisa wakaaji
Shule ya msingi niliosoma tulijengewa na wajerumani kupitia shirika la CONCERN na walifyatua tofali za udongo kwa kutumia mashine zao kisha wakajenga madarasa wakachspia na kupaka chokaa kwa ndani na kwa nje wakachapia na kupiga puchi mpaka leo shule ipo haina hata ufa na ishapita miaka zaidi ya 30