ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Wanajamvi Huu ni ugonjwa wa muda mfupi lakini ni hatari mno! Usiombe ukukute upo mbali na nyumbani au uwe safarini ndani ya public transport aisee utaomba ardhi ipasuke utumbukie humo!
Ni ugonjwa wa ajabu kabisa na wa hatari sana sababu unamtesa sana muhanga pindi umshikapo,mwili mzima unakuwa hovyo, tumbo unalisikia kabisa lilivyochafuka, kichefuchefu fulani hivi, jasho,na mawazo Mengi ndani ya muda mfupi,yaani ni kama fahamu zinataka kukutoka na dawa au suluhisho linabaki kuwa ni mpaka hivyo vinavyokusumbua vitoke mwilini
Hebu tujuzane baadhi ya njia tunazoweza kutumia kupunguza machungu ya kabla mtu haujatoa haja hiyo sumbufu mwilini
Tumbo la kuhara ni noma jamani kama bado Siku yako shukuru mungu!