Mwanantogakulya
Senior Member
- Mar 18, 2025
- 130
- 118
- Fedha ya serikali haitoshi kugharamia kila kipengele, hasa kwa wanafunzi wa bweni.
- Shule nyingi hutafuta njia mbadala ya kupata fedha kwa kuhamishia mzigo kwa mzazi.
- Hivyo basi, elimu si bure, bali imegeuzwa jina tu huku mzigo ukiwa kwa familia.