hb Mujahideen
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 152
- 164
Huyo jamaa achana nae, asikuchoshe,Wengine 2013 walikuwa watoto
YAAN tz mtu ananiona mjanja kuwa na lundo la vitambulisho
Kwa nn kitambulisho cha kupiga kura kisiwe full kila nukta ya uraia, maana details ni zile zile za kweny nida
Kuchoshana tuh
Sent using Jamii Forums mobile app