Madame umetisha ...emu chukua 3 gold hapo ACACIA ntalipa nikirud londonSio kwamba huku wanaopost kutafuta wenza wana kasoro kwamba wamekosa wenza, huko walipo ni maisha tu mke au mume anaweza kupatikana popote pamoja na kuwepo post nyingi hapa ila imekuwa ni shida sana kupata mtu kwa upande wangu mimi nimeona changamoto zifuatazo;
Moja; Ukurupukaji na unafiki
Mtu anapost sifa za mtu ambae anazitaka mtu unajijua kabisa huna hata robo ila unaanza kumfukuzia huko ni kupotezeana muda, soma posti kwa makini kama huna acha kabisa subiri wa kufanana nae.
Mbili; Matapeli
Hawa nao wana familia zao basi tu kukusanifu ili akujue, kwani ukishamjua mtu huku unadhani unapata nini? Au utamfanya nini? Kama unajiona unajua kupeleleza sana kasaidie serikali kule kibiti mfyu.
Tatu;
Kutojipanga mtu hajajipanga kimahusiano au kindoa, posti inasema mtu anahitaji ndoa unaanza kumtafuta kumbe mipango yako ya kuoa au kuolewa hadi 2025! Subiri wakati wako ukifika ndo utafute ukiona mtu anatafuta mwenza ujue kachoka kuishi peke yake anataka mtu asap! Muache acha kumpotezea muda.
Nne
Location
Soma vizuri location ya mtafutaji mtu yupo songea anatafuta mke au mume na wewe upo chato na unajijua kabisa huwezi kuhama hata kwa winchi au yeye unajua kabisa kukufata alipo ni ndoto bado unajifanya kumfukuzia huko ni kupotezeana muda na mb pm na muda wa maongezi.
Tano
Dini
Mtu anasema kabisa dini yake na dini aitakayo unajijua kabisa wewe ni msabato bado unajilazimisha kwenda kwenye pm ya mtoto wa mtume wa saudi arabia kweli? Masalia na dini ya haki wapi na wapi?
unajuaje mtu anawachezea akili.unawahukumu watu mia kwa kosa la mtu mmoja?Na ndio maana hata wanaojibu hayo matangazo wanajibu utumbo kwasababu wanajua waweka matangazo wanachezea watu akili.
Daaah jamaa lina sura ngumu sanamsife moyo wadau, hata mm niliopoa kifaa toka humu jf, kabint kananiitaga dume la mbegu[emoji2] [emoji2] [emoji109] View attachment 517589
mwanaume hasifiwi usoniDaaah jamaa lina sura ngumu sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mimi sijaliona hilo bandiko? Ningekuwa wa kwanza.
Very true mkuuNa ndio maana hata wanaojibu hayo matangazo wanajibu utumbo kwasababu wanajua waweka matangazo wanachezea watu akili.
sasa pm unafata nini?Umekaa na lijamaa kwenye vichaka tunapita tunawaona kesho unatafuta mume ...ukikosa unamlaum shetani! Unajiharibia sif za kuitwa mke mbele za watu.
Unavaa visuruali vime chora maungo yako kesho unatafuta mume unakosa unamsingizia shetani!...
Unatoa kauli mbaya hadi jirani wanakujua nani anataka manual speaker kwenye ndoa yake.
Unakutana na dada kavaa kabana makalio mjini na wigi la mkorea sasa nani aweke hiyo liability ndani?
Unatumika unadai unakula ujana...nani amalizie uzee wako ?
Mchawi hayupo ila ni wadada wenyewe ndo wachawi sisi watoto wa West London hatuna shida ...tunawaangalia tu.
Ukwel mtupu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umekaa na lijamaa kwenye vichaka tunapita tunawaona kesho unatafuta mume ...ukikosa unamlaum shetani! Unajiharibia sif za kuitwa mke mbele za watu.
Unavaa visuruali vime chora maungo yako kesho unatafuta mume unakosa unamsingizia shetani!...
Unatoa kauli mbaya hadi jirani wanakujua nani anataka manual speaker kwenye ndoa yake.
Unakutana na dada kavaa kabana makalio mjini na wigi la mkorea sasa nani aweke hiyo liability ndani?
Unatumika unadai unakula ujana...nani amalizie uzee wako ?
Mchawi hayupo ila ni wadada wenyewe ndo wachawi sisi watoto wa West London hatuna shida ...tunawaangalia tu.
ahsante mkuu maneno yametulia hayaMadame umetisha ...emu chukua 3 gold hapo ACACIA ntalipa nikirud london
Sio kwamba huku wanaopost kutafuta wenza wana kasoro kwamba wamekosa wenza, huko walipo ni maisha tu mke au mume anaweza kupatikana popote pamoja na kuwepo post nyingi hapa ila imekuwa ni shida sana kupata mtu kwa upande wangu mimi nimeona changamoto zifuatazo;
Moja; Ukurupukaji na unafiki
Mtu anapost sifa za mtu ambae anazitaka mtu unajijua kabisa huna hata robo ila unaanza kumfukuzia huko ni kupotezeana muda, soma posti kwa makini kama huna acha kabisa subiri wa kufanana nae.
Mbili; Matapeli
Hawa nao wana familia zao basi tu kukusanifu ili akujue, kwani ukishamjua mtu huku unadhani unapata nini? Au utamfanya nini? Kama unajiona unajua kupeleleza sana kasaidie serikali kule kibiti mfyu.
Tatu;
Kutojipanga mtu hajajipanga kimahusiano au kindoa, posti inasema mtu anahitaji ndoa unaanza kumtafuta kumbe mipango yako ya kuoa au kuolewa hadi 2025! Subiri wakati wako ukifika ndo utafute ukiona mtu anatafuta mwenza ujue kachoka kuishi peke yake anataka mtu asap! Muache acha kumpotezea muda.
Nne
Location
Soma vizuri location ya mtafutaji mtu yupo songea anatafuta mke au mume na wewe upo chato na unajijua kabisa huwezi kuhama hata kwa winchi au yeye unajua kabisa kukufata alipo ni ndoto bado unajifanya kumfukuzia huko ni kupotezeana muda na mb pm na muda wa maongezi.
Tano
Dini
Mtu anasema kabisa dini yake na dini aitakayo unajijua kabisa wewe ni msabato bado unajilazimisha kwenda kwenye pm ya mtoto wa mtume wa saudi arabia kweli? Masalia na dini ya haki wapi na wapi?
Mmmmhhh ushaanza kulainikai love you more baby
Hebu toa la upande wa pili mkuuMbona kama angalizo la upande mmoja tu?
Aiseee mbona sikua taged, au ni bandiko la kitambo?Umepatia kabisa!!!
Mimi niliweka bandiko langu hapa nikasema kabisa sitaki viserengeti boys ila eti Mtoto ka miaka 20 akanifuata PM... Si uchokozi huoooo! [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni utani tuAiseee mbona nsikua taged, au ni bandiko la kitambo?
za siku lakini?Ni utani tu
Nzuriiiza siku lakini?
vipi mfungo unaenda je au we kobeNzuriii
Mimi kobevipi mfungo unaenda je au we kobe