Kuna Hali ambayo hatuelewi.
Tumesoma veta-mpanda basic short course intake ya 14/8/2025 hadi 14/09/2025 lakin kutokana na changamoto tulimaliza karibu mwezi wa 10.
Lakin Hadi Leo hatujapata vyeti kila tukiwatafuta wanasema tusubirie kidogo lakini hakuna dalili yoyote Ile.
Pia tulilipia tshirts waliopata niwachache Kuna wengine walikua wameshakata learning license Hadi Sasa zimeisha muda maana yake wataingia gharama tena ya kulipia upya