KERO Changamoto ya mtandao benki ya NMB Buhongwa

KERO Changamoto ya mtandao benki ya NMB Buhongwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna changamoto kubwa sana na inajirudia mara kwa mara kwenye ATM za NMB Buhongwa hali inayoleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wanaotokea maeneo mbalimbali na kuna taarifa kwamba wanafanya makusudi ili watu waende kwa mawakala ambako makato ni makubwa zaidi kwani changamoto huonekana zaidi wakati wa mwisho wa mwezi mishahara ikianza kutoka. Huu ni usumbufu kwa watumiaji wanaotokea maeneo ya mbali.
 
Back
Top Bottom