L Leshido New Member Joined May 11, 2026 Posts 1 Reaction score 1 May 23, 2026 #1 Makonda wa daladala za Masaki-Gerezani wamekuwa wakichukua nauli iliyozidi. Nauli ni 700 wao ukiwapa hela kama 1000 na kuendelea wanakukata 800 kwa kisingizio cha kukosa chenji. Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
Makonda wa daladala za Masaki-Gerezani wamekuwa wakichukua nauli iliyozidi. Nauli ni 700 wao ukiwapa hela kama 1000 na kuendelea wanakukata 800 kwa kisingizio cha kukosa chenji. Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
Mchumi90 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 1,157 Reaction score 1,447 May 23, 2026 #2 Andaa nauli kamili, hutapata taabu
Mchumi90 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 1,157 Reaction score 1,447 May 23, 2026 #3 Ila siku tukienda kwenye online payment yataisha haya
Dallas green JF-Expert Member Joined Nov 17, 2019 Posts 1,702 Reaction score 3,421 May 23, 2026 #4 Poleni mambo ya makonda ndivo yalivo
Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,153 Reaction score 17,570 Aug 2, 2026 #5 Poleni
Mwafrikamtanzania JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,066 Reaction score 1,355 Aug 2, 2026 #6 Kwa mujibu wa Afisa Usalama Barabarani (Traffic), abiria anapaswa kubeba nauli kamili Kwa sababu anafahamu kuwa anapanda chombo cha usafiri.
Kwa mujibu wa Afisa Usalama Barabarani (Traffic), abiria anapaswa kubeba nauli kamili Kwa sababu anafahamu kuwa anapanda chombo cha usafiri.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,926 Aug 2, 2026 #7 Poleni sana... Cc: Mahondaw