Makonda wa daladala za Masaki-Gerezani wamekuwa wakichukua nauli iliyozidi.
Nauli ni 700 wao ukiwapa hela kama 1000 na kuendelea wanakukata 800 kwa kisingizio cha kukosa chenji.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?).
Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza...
Hii ni kero ya watu wengi nimeamua kuiweka hapa ili wahusika wachukuliwe hatua,
Kwanza kabisa kwenye mwezi wa tano hawa jamaa wa haisi walikuwa hawafiki mwisho wa ruti kwa zaidi ya miaka miwili walikuwa wanaishia relini yaani kuna kama km4 hivi ndo ufike kiseriani mafukani, ambapo nauli ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.