NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,869
- 5,169
Tumia ushauri namba mbili. Ila ingekua bora kama ungesema aina ya WhatsApp mfano GB au Yo au hii ya kawaida. Tafuta apk yake then uninstall hiyo WhatsApp badae install hiyo apk then wakat unajisajili bonyeza restore vitu vyako vitarudi kama vilivyokua. Mimi Jana nimefanya hivyo ila natumia GB WhatsApp niliblock notification sasa nilipozirudisha ziwe on zikagoma.... Good luckyOption 1
Download whatsapp apk
Kisha install tu bila kufuta hiyo iliyopo.booom you are done
Option2
Tumia other app stores kama apk pure, aptoide n.k
Option3
Kama hiyo playstore yako inaweka download pending basi kuna kashida. Jaribu kucleat cache za playstore.
I would preffer option1
tatizo liko wapi acha kejeli hatufanani kwa lafidhi mbona wewe huwezi sema CCM unasema THITHIEMU lakini tunakuelewaHilo ni tatizo lako mwenyewe la kutumia WHATSUP badala ya kutumia WHATSAPP! Kwetu sisi hatuna hiyo WHATSUP unayotuambia!
tatizo liko wapi acha kejeli hatufanani kwa lafidhi mbona wewe huwezi sema CCM unasema THITHIEMU lakini tunakuelewa