Hali ya mtandao wa internet bado ni mbaya sana kiasi cha kufanya shughuli za kiuchumi na kijamii kuathirika. Hii ni pamoja na Mabenki, Mahospitali, maduka, TRA, Umeme, Mashirika ya ndege, na maeneo mengineo.
Kwa uwekezaji na maeneo ya kiuchumi na kijamii hili liwe funzo kubwa kuwa tunahitaji mawimbi imara ya intenent wengine wanazungumzia starlink au uwekezaji wowote njia ya settelite visaidiae na mkonga vinginevyo tatizo lilikuwa la umeme limeisha linaingia la internet mbona hatuna vision ya maendeleo jamani ni kutesana tu.
Mitandao iko low/slow tufanyeje kazi za maendeleo, Nape na Mawaziri nendeni na kasi ya mama ya kutuletea maendeleo ya kweli.