Wakuu habari zenu. Nina harddisk yangu haisomi kwenye pc nikiskiliza mlio wake ni kama mashine yake kwa ndan imekwama hivi, inagonga.
So anaefaham namna ya kurecover files au anafaham fundi anaeweza kunisaidia naomba anisaidie mana hapa nimekwama nimeshauliza mafundi mbalimbali ninaowajua wameniambia hiyo ni kesi ngumu.