plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 913
- 1,591
Kitaalam sink ni kitu kingine sink ni kama slope sink,kitchen sink na kitaalam choo tunaita (water closet) choo kazi yake ni kupokea uchafu wa ndani ya mwili kinyesi ,mkojo na sink kazi yake kupokea uchafu nje ya mwili hapa ni kama kunawa kuoga kufulia kuosha vyombo kuosha mboga mboga n.k..So choo na sink ni vitu viwili tofauti...choo ama sink, unanunua choo
Sahihi kabisaKutokana na uhaba wa maji wengine wakienda haja ndogo hawaoni umuhimu wa kumwaga maji ili usafishe choo. Huu ndiyo mwanzo wa kuambukizana magonjwa.
Kweli kabisa mkuu nili lenga kutoa elimu namna ya kuepukana na kutuSasa Mbona ujaeleza kuhusu hizo Marumaru Maana hapo hakuna choo kisafi katika picha
Kweli kabisaMwaga thick bleach uache kama dakika kumi ndiyo usafishe kwa brush ya choo. Sakafu safisha na maji yaliyochanganywa na bleach. Tumia ndoo na dekio la mti kwa afya yako mwenyewe.
Ukikosa bleach majivu yanafanya kazi vizuri pia au becabonate soda ile ya kuokea mikate.
Hiyo bleach inapatikana wapiMwaga thick bleach uache kama dakika kumi ndiyo usafishe kwa brush ya choo. Sakafu safisha na maji yaliyochanganywa na bleach. Tumia ndoo na dekio la mti kwa afya yako mwenyewe.
Ukikosa bleach majivu yanafanya kazi vizuri pia au becabonate soda ile ya kuokea mikate.
Kwenye minmarket zetu aina gani ya bleach inafaa??Mwaga thick bleach uache kama dakika kumi ndiyo usafishe kwa brush ya choo. Sakafu safisha na maji yaliyochanganywa na bleach. Tumia ndoo na dekio la mti kwa afya yako mwenyewe.
Ukikosa bleach majivu yanafanya kazi vizuri pia au becabonate soda ile ya kuokea mikate.
Parazone is the best lakini ukiikosa bleach yeyote inafaa.Kwenye minmarket zetu aina gani ya bleach inafaa??
Sijawahi ona !Parazone is the best lakini ukiikosa bleach yeyote inafaa.
Jiki pia ni nzuriSijawahi ona !
Kama zipi? Jiki? Aro?
Maji chumvi ni tatizo kubwa sanaHujataja maji ya chumvi....wakazi wa Kigamboni watanielewa.