Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,458
- 3,011
Kuna jamaa alitaka kunipiga pesa humu,hakujua kuwa pesa nyingine za Moto,huzipati bila kutoa jasho. Alipoishiwa mbinu akawa anaforce aambulie walau buku tano tu. Jamaa ni tapeli njaa Sana yule,Kama vipi nimtaje ili wengine muwe makini.Ungewataja ili wasije tapeli watu wengine humu.