Noah za Arusha to N
amanga zimekuwa na changamoto mbalimbali na hazifuatiliwi na vyombo husika. mojawapo ya changamoto hizo ni:-
-watu kubanana sana
-kubadilisha nauli wanavyojisikia(mbali kabisa na nauli iliyopangwa ya tsh 7,000 kwa noah na 5000 kwa hiace)
-kauli mbovu na ubabe kwa wateja.
-vinara wa kupitisha magendo e.g. miraa na baadhi ya bidhaa.
wahusika walifanyie kazi,wananchi wanapata usumbufu usio wa kawaida licha ya sheria na vyombo vya usalama.