Changamoto nazopitia kwenye ndoa

kaka kwenye kipengele cha mtoto sio rahisi kukaa nae mbali nampenda sana kijana wangu nayeye ananikubali kinoma nisipokuwepo dogo Hana utulivu hata mimi sikaagi poa kabisa bila kumwona dogo
Vumilia tu kubali kuendelea kuumizwa ili mlee mtoto wenu. 😂🤣😅😄😅

Alisikika mshauri nasaha mmoja akinena
 
Your browser is not able to display this video.
 
Pole sana ila naona wanaume mnaongoza na malalamiko kwenye ndoa [emoji3064]
 
Mimi kwanza sipendi mambo yangu yapelekwe mbele za watu eti tushauriwe
Watu ndo sisi umeshatuletea tunakushauri.

Ushauri:
Mkeo kama si mwanga/mchawi, kama si malaya na mwenye tamaa ya pesa mvumilie huku ukiomba na yeye asikuchoke na mabaya yako, baada ya miaka 8 fanya tasmini kama kweli humtaki mkeo.
 
kaka kwenye kipengele cha mtoto sio rahisi kukaa nae mbali nampenda sana kijana wangu nayeye ananikubali kinoma nisipokuwepo dogo Hana utulivu hata mimi sikaagi poa kabisa bila kumwona dogo

Ngoja Ufe na stress utajifunza kukaa naye mbali ukiwa kaburini pumbavu!
 
Hata wewe una matatizo pia
 
Utoto bn aya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…