Changamoto kwenye Mfumo wa maombi Tamisemi

Changamoto kwenye Mfumo wa maombi Tamisemi

M Mtimbichi

Member
Joined
Feb 3, 2019
Posts
63
Reaction score
44
Wanajukwaa naombeni msaada.
niktaka kuingiza particular za secondary system inaleletea error, "NECTA Candidates particulars does not match"
 
Kwa upande was afya mbona machaguzi ya vituo vya afya hayaonekani
 
Naomba msaada wa kuziondoa kabisa taarifa za elimu ya chuo nilizokosea
Nenda sehemu uliyojaza taarifa za chuo na uzifute zote na uanze upya katika kipengele hicho, lakini hakikisha una soft copy ya Cheti na transcript au nakala zake.

Ukifungua hicho kipengele Kuna option ya kuongeza au kuondoa wewe ondoa na uanze kujaza upya.
View attachment 2203143
 
Kwangu inakuja option ya kuongeza bt hakuna option ya kuondoa
 
"Application process failed" mesage inKuja mtu anapotaka kua save taarifa za chuo. Kada ya Elimu, ngazi Diploma.

Msaada
 
Back
Top Bottom