Changamkieni nafasi za kazi LAPF

Changamkieni nafasi za kazi LAPF

Wadau nimeitwa kwenye aptitude test na hawa LAPF, je kuna mtu ana ABC zao hawa jamaa??
 
Hua wanaita watu wengi sana, bt usiache kujarib zari brooo, tena wamesema duce tarajia kukutana na watu ulosoma nao msingi,seco hadi chuo
 
Mkuu google haiwez niambia kila k2 lengo la swal langu n kama mtu aliwahi fanya intavyuu kwao anaweza kuongeza maujanja kidgo

Mkuu maswali ya hao jamaa sio magumu sana kama wale wa WCF juzi labda kama nao watabadirika sasa hivi.

Cha muhimu pitia kwenye tovuti yao upate ABC zao, pitia tovuti ya SSRA, na mifuko mingine ya hifadhi ya jamii, pitia majukumu ya hiyo nafasi kama yanvyooneka kwenye tangazo la kazi na maswali mengine huwa ni ya jumla.

Ila jianadae kisaikolojia kukuatana na nyomi ya watu.
 
Mi ndo mara ya kwanza hivyo cjui chochote bora wangesema wameita watu wangapi ili mtu ujitathmin mapema kabla hujaingia gharama

Mara ya mwisho usaili wao waliita watu zaidi ya 3000, sasa kwa huu ukame wa ajira unavyozidi kuongezeka tegemea watu watakuwa wengi ila usikate tamaa.
 
Acha kudanganya wenzio.

Hatujaanza hata kuchambua barua.

Tegemeeni tutaanza kuwaita kuanzia mwezi wa pili mwakani.
Wewe ndio unapotosha watu, wameanza kuita kwa kutumia msg, usaili ni trh 26/04/2017 mahali DUCE muda saa 02:30 asbh
 
Wewe ndio unapotosha watu, wameanza kuita kwa kutumia msg, usaili ni trh 26/04/2017 mahali DUCE muda saa 02:30 asbh

Soma tarehe ya hiyo comment kwanza.

ila siku ya usaili usiwe unakurupa hivi mdogo wangu utaliwa kichwa asubuhi kabisa.
 
Wasenge why uitishe mob huku ukitaka watatu????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom