wakuu naweza pata wapi destop flatscreen nzuri na kwa bei gani? iwe na specification hizi, 80GB HDD, 2 or 1GB RAM, CDR yaani inaweza kuban, aina ya Dell. usisahaukuniandikia specification na aina pamoja na bei.

Unataka Used au Brand New? Na hiyo Flat yenyewe iwe nchi ngapi?
Na unaposema CDR unamaanisha nini? Ukisema iwe inaburn tu haijitoshelezi kwani kuna Drive inayoburn DVD na CD inayoitwa DVDWR, Halafu kuna CDRW-hii inaburn CD lakini haisomi DVD na kuna DVD/CDWR, hii inaburn CD na kusoma DVD.