pingu mkoka
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 434
- 112
mkuu nadhani tatizo sio tv bali ni mwandishi anayeripoti toka eneo la tukio inawezekana mwandishi anatembea na gari la ccm kwenye misafara yao na kupewa chochote cha tumbo
Inamaana Chadema nao wanampa chochote mwandishi aripoti Kalenga?
Wakuu nimeamin kabisa vyombo vya habar vina upendeleo,
Chanell ten wamerusha kampen za ccm pekee karenga huku wakiacha vyama vingine,kama Cuf na Chadema,imeniuma sana.
Hili lichama nimelichoka,kwa sababu halina msaada wowote kwa watanzania hasa ss wakazi wa karenga.
kama imekuuma chukua kamba kajitundike
naaminisha ni mwendelezo wa ccm kuhonga waandishi wa habari wakiandike vizuri au hujui hilo. kila habari ya channel ten ni ccm usikute kuna ka ukweli
kama imekuuma chukua kamba kajitundike
kama imekuuma chukua kamba kajitundike
Kwani CDM na TANZANIA DAIMA ni ndugu ama vipi?