Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,382 Jul 5, 2013 #2 mkuu nikikumbuka hiyo kitu machozi yananilenga. Nikikumbuka gombania goli, one touch, magoli madogo, kona maisha yalikuwa matamu mno, mnatoroka darasani mbio uwanjani kucheza mpira. Nilikuwa sikosi chandimu kwenye mkoba wangu wa shule.
mkuu nikikumbuka hiyo kitu machozi yananilenga. Nikikumbuka gombania goli, one touch, magoli madogo, kona maisha yalikuwa matamu mno, mnatoroka darasani mbio uwanjani kucheza mpira. Nilikuwa sikosi chandimu kwenye mkoba wangu wa shule.
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,382 Jul 5, 2013 #3 dah bila kusahau danadana we acha tu nilikuwa nakuhesabia miatano
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,447 Reaction score 4,842 Jul 6, 2013 #4 Shule ya msingi tulikua tunaita 'makara' Enzi hizo Naura primary!!
awp JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 1,711 Reaction score 605 Jul 6, 2013 #5 mpira wa makaratasi,