Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Jan 12, 2012 #1 Kuna jamaa walikua wanataniana! Mmoja akamwambia mwenzake hivi : Aisey mwenzangu umezidi umalaya yaani ingekua kila Mwanamke mmoja unaetembea nae ukimaliza tu, unatobolewa tundu mwilini, basi wewe ungekua Chandarua !
Kuna jamaa walikua wanataniana! Mmoja akamwambia mwenzake hivi : Aisey mwenzangu umezidi umalaya yaani ingekua kila Mwanamke mmoja unaetembea nae ukimaliza tu, unatobolewa tundu mwilini, basi wewe ungekua Chandarua !
Zimba Senior Member Joined Jul 30, 2011 Posts 113 Reaction score 14 Jan 13, 2012 #2 Hadisi hii inatufundisha tusiwe waongo!
aikaruwa1983 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,504 Jan 13, 2012 #3 unamaanisha matundu yote ya mwilini yangekuwa sawasawa!!!!!!!!!!
T TUMY JF-Expert Member Joined Apr 22, 2009 Posts 705 Reaction score 93 Jan 13, 2012 #4 Anyway, mida.