CHAN 2024.(uchambuzi na maoni ya mechi zote) hapa

CHAN 2024.(uchambuzi na maoni ya mechi zote) hapa

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,898
Reaction score
2,256
Kwanini CHAN 2024 na si 2025. Ratiba ya kalenda ya caf huwa ni kila baada ya Miaka miwili, HII ni chan ya 8. Haijalishi huchezwa wakati upi MWAKA uhesabiwa kwa kufatana baada ya miaka miwili. Chan ilipangwa kuchezwa Februari 2025. Januari 2025 Ilisogezwa mbele sababu miundo mbinu haikua tayari.

Michuano hii haiusishi wachezaji wanao cheza ligi ya nje ya nchi.

Makundi ya TIMU.
Kundi A(uwanja Kenya) - Morocco,congo drc,Angola,Zambia.
Kundi B(Tanzania) -Tanzania,Madagascar, Mauritania,Burkina Faso,central Africa republic)
Kundi C(Uganda)-Uganda,Nigeria,guinea,zitazo qualify)
Kundi D(zanzibar)-senegal,congo,sudan,Nigeria.

Timu ngumu makundi
Kundi A-morocco na Kongo drc
Kundi B-Tanzania na Burkina Faso. Madagascar asipuuzwe katutoa cosafa juzi TU
Kundi C-Uganda ashindwe yeye tu.
KundiD- kundi la kifo mnyonge ni Kongo TU.
Timu baba lao
Senegal(mtetezi)
Morocco(asha beba mfululizo
Drc(kacheza fainali kibao)
Burkina Faso(akifuzu makundi TU patashika nguo kuchanika)

Mechi za awali
B-tanzania vs Burkina Faso
A-morocco vs congo
C-Uganda vs qualifier
D-senegal vs Nigeria

Tanzania vs Burkina Faso
Burkina Faso
Kipa hatari ni
Sanou ladji. Kipa, anachezea as sonabel.umri Miaka 21. Clean sheet27 msimu 2024/25.

Mabeki- guira,sagne,franck,nikisema,konate,ousmane.

Viungo
Belem,outara,moumouni,to one,bagre,adjibade,ramani,Karim,sangare.

Washambuliaji
Kabole,koutiama,naser,outara,barro.

Wachezaji hatari.belem ni MZURI kupokea mipira na kusambaza. Issouf kabore KWENYE ligi Yao alofunga goli 11 KWENYE mechi 52 msimu WA 2024/2025 ni kifungo MZURI mwenye uwezo WA kumalizia. Safu ya ushambuliaji haiko vizuri SANA hutegemea viungo kufunga.

Tanzania ishindwe yenyewe tu wachezaji wazuri ni wale wanao cheza nje. Man city, wolves,rangers,pyramid,ajax,Bournemouth,shakhtar donetski,hsk Helsinki na fc Annecy ambao hawaruhusiwi kushiriki chan.

Tanzania
wachezaji muhimu tu
Kipa
Aishi manual NDO kipa mzoefu ILA kipindi hiki ameshuka kiwango SANA hivo si wakumtegemea KWENYE mechi HIZI, ITAKUA busara NAFASI apewe mwingine.
Hatuna kipa Bora mwenye uzoefu WA michuano ya kimataifa. HII itatupa SHIDA KWENYE kuzuia mashambulizi kwa weledi na uhakika,hivo tegemeo KUBWA ni mabeki.

Bacca na job. Wanastahili kuwepo mechi inawahitaji mchezaji kama bacca ni MZURI kuzuia pia ni mfungaji nazani atawapa wakati NGUMU kina kabore,outara,koutiama,naser na barro.

Changamoto asiwe anapanda sana na kuchelewa kurudi viungo wao ni wazuri kusambaza mpira na kufanya shambulizi la haraka.

PEMBENI mwenda aanze na MmOJA kati ya tshabalala na kapombe.

Katikati (viungo)
Feisal,mudathir, kagoma, ingependeza waanze pamoja ILI feisali awe huru kupanda kushambulia ye na mudathir. Mchezaji kama nado ni MZURI kwa pasi za mwisho na kufunga hivo SINA shaka nae akianza. kagoma acheze kwa tahadhari kubwa kadi zisizo na maana zitatutoa mchezoni.

Ushambuliaji
Clement mzize aanze, kukosekana kwa kibu Denis bado ni hasara kwa timu kwani wachezaji WENGI walio baki hawana uzoefu mkubwa WA mechi za kimataifa.

Tuheshimu maamuzi ya kocha,tuwe na Imani NAE, tushangilie na tusilaumu hovyo kwani itawavunja moyo wachezaji.

nb_wachezaji wapangwe bila kigezo cha utanganyika na uzanzibari kwani hiyo imekua inatuumiza sana kwenye baadhi ya mechi kama ya Morocco marudiano, mchezaji anachoka anavurunda lakini hafanyiwi sub kwa wakati eti kubalansi.Big no kundi jepesi SANA wachezaji wapangwe kwa juhudi na hitaji halisi na si vinginevyo. Tusipo fuzu makundi kocha asibakishwe.

Karibuni kwa uchambuzi katika kipindi chote cha michuano hii ya chan2024.


Kwishaaaaaa


Big brother alex (B.B.A)
 
NAIPONGEZA SERIKALI CHINI YA MAMA YETU MPENDWA KWA KUWEZESHA UWENDESHAJI WA MICHUANO HII

AMANI YETU TUNU YETU WATANZANIA TUWE WAZALENDO
 
MBONA ruto na museven hujawataja mkuu. We ni mwana siasa ETI? Nmekushitukia ...


Kwishaaaaaa
 
Sheikh nardhiyyah anunua tiketi 1000 zitazo gawiwa Bure kwa mashabiki kushuhudia mechi ya Nigeria na Senegal amani zanzibar


Kwishaaaa
 
Back
Top Bottom