Champions League quarter-final draw: PSG face Manchester City – as it happened

PNC

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
8,106
14,352
Klabu ya Manchester City imepewa miamba wa Ufaransa Paris Saint Germain kwenye robofanali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya droo kufanywa mjini Nyon, Uswizi.

PSG ndio waliowatoa Chelsea kwenye hatua ya 16 bora.

Mabingwa watetezi Barcelona wamepewa klabu nyingine ya Uhispania, Atlético Madrid mechi hiyo ikiwa kama marudio ya robofainali msimu wa 2013/14. Atlético walishinda 1-0 na mechi ya ugenini ikaisha sare ya 1-1.

Itakuwa mwaka wa tatu mfululizo kwa vijana hao wa Diego Simeone kukutana na wapinzani kutoka Uhispania robofainali.

Walishindwa 1-0 na Real Madrid msimu uliopita.

Bayern, wamepewa klabu ya Benfica kutoka Ureno.

Klabu hiyo ya Ujerumani imeshinda mechi nne kati ya sita zilizochezwa kati ya klabu hizo mbili, mechi hizo nyingine mbili zikiisha kwa sare.

Klabu hizo mbili hazijawahi kukutana tangu 1995.

Wolfsburg na Real Madrid, ambao hawajawahi kukutana Ulaya awali wamepangwa pamoja wenye mechi hiyo nyingine ya robofainali.

Julian Draxler alikuwa kwenye timu ya Schalke iliyolazwa na Madrid hatua ya 16 bora misimu ya 2013/14 na 2014/15.

Mechi hizo za robofainali zitachezwa 5/6 na 12/13 Aprili.

====================
TUE 05/04/2016
BARCELONA vs A.MADRID

BAYERN MUNICH v BENFICA

WED 06/04/2016
WOLFSBURG v REAL MADRID

PSG v MANCHESTER CITY

The first legs will take place on April 5
and 6, and the second legs will be played on April
12 and 13.
1458298474523.jpg
1458298507001.jpg

facebook_1458302584441.jpg

• Wolfsburg v Real Madrid; Bayern Munich v Benfica; Barcelona v Atlético
• Manuel Pellegrini’s side to face French champions in last eight
The first legs of the Champions League quarter-finals will take place on 5-6 April.

Manchester City will face Chelsea’s conquerors Paris Saint-Germain in the quarter-finals of the Champions League.

Manuel Pellegrini’s side beat Dynamo Kyiv in the last round to reach the last eight for the first time and their reward will be tie against the reigning French champions.

Elsewhere, Barcelona’s quest to retain the title they won last year will see Luis Enrique’s side take on La Liga rivals Atlético Madrid. Wolfsburg’s reward for reaching this stage of the competition for the first time is a tie against 10-time winners Real Madrid, while Bayern Munich face Benfica in the other tie.

The quarter-finals will take place on 5-6 April and 12-13 April.


Source: Theguardian

EUROPA DRAW
THURS 07/04/2016
Athletic vs Sevilla
Braga vs Shakhtar Donetsk
Dortmund vs Liverpool
Villarreal vs Sparta Praha
 
Bila kupepesa macho NUSU FINAL UEFA ITAKUWA HIVI
BARCA vs BAYERN
PSG vs MADRID
 
Wolfsburg vs Real Madrid
Bayern Munich vs Benfica
Barcelona vs Atletico Madrid
PSG vs Manchester City
 
PNC thanks, man it's on Channel 414, champions league just commenced...

Wolfsburg v Real Madrid - ouch!

Bayern Munich v Benfica

Barcelona v Atletico Madrid

PSG v Man City - second leg at home advantage, could go through to semis
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nilitamani At. Madrid wakutane na Real Madrid ila Madrid wafungwe.
 
Yap ni kweli mkuu ila R.Madrid wamezid mbeleko yani toka makund had robo wanapewa mteremko tu hii ni too much

Acha kulialia, kama hujui jinsi gani draw za UEFA zinaendesha uliza ufahamishwe.
 
UPDATE#
BARCELONA vs A.MADRID

WOLFSBURG v REAL MADRID

BAYERN MUNICH v BENFICA

PSG v MANCHESTER CITY

The first legs will take place on April 5
and 6, and the second legs will be played on April
12 and 13.
uefa naona sasa hivi tofauti idogo tumeona timu kama man city, wolfsburg na benfica ambazo hatujazoea sana kuziona robo final, ila inaboa sometimes kwa kuwa na timu zilezile kila msimu

ila hapo nusu fainali ni real madrid, barcelona, bayern....man city na psg kuna mtihani japokua psg ana edge kidogo kwa sababu ya uzoefu
 
...Barca akimtoa Atletico anaenda kuchukua hilo kombe,binafsi naiona Atletico ndio timu ngumu zaidi ya zote zilizokuwepo kwenye hiyo draw..
atletico ni timu ngumu lakini kwa barca keshakua mteja mkuu, ukicheki meeting zao msimu huu na msimu uliopita atletico nadhani hajashinda hata moja
 
Acha kulialia, kama hujui jinsi gani draw za UEFA zinaendesha uliza ufahamishwe.
Mimi siliilii hata wakirudia tena wanipe bayern mimi kilicho mbele yangu ni halali yangu ila R.MADRID mbeleko zimezid et kiwofbag sasa si wangempa hata PSG
 
uefa naona sasa hivi tofauti idogo tumeona timu kama man city, wolfsburg na benfica ambazo hatujazoea sana kuziona robo final, ila inaboa sometimes kwa kuwa na timu zilezile kila msimu

ila hapo nusu fainali ni real madrid, barcelona, bayern....man city na psg kuna mtihani japokua psg ana edge kidogo kwa sababu ya uzoefu



You think?
I think they may surprise us, a bit like liverpool we did in 2005 vs Milan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom