Princesbet toka waweke 20% mwaka jana sijawagusa tena. Hii kazi ngumu nahangaika mwenyewe kubashiri mambo yajayo, hakuna support yeyote kutoka serikalini! Halafu eti nikila nitoe 20% thubutu!
Ulaya wanajua ugumu wa hii kazi ndio maana hawana shida na 20% ya mbetiji.