CHAMPION: Kampuni kongwe ya mabasi routes za Dodoma iko hali tete

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wakuu,

Kwa wenyeji wa Dodoma au ambao mmeshapitapita maeneo hayo , mabasi ya Champion / Super Champion yakuwa siyo mageni kwako.

Inasemekana tajiri wa hayo mabasi ni mtu kutoka Kondoa. Ni Mrangi...

Champion ametesa sana routes za Dodoma - Dsm , Dodoma - Arusha - Moshi , Dodoma Iringa , Dodoma - Kondoa etc..

Ni magari yaliyofungwa engines za kubwa za Scania, ni hatari sana.

Enzi hizo ilikuwa unatoka Dodoma Dsm go and return. Maisha yakawa yanaenda.

Kwasasa sizioni gari zake routes za Dodoma Moshi n.k.

Chuma kimekaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zama za "Masufuria" zimeisha..siku hizi tuko na Chinese buses...hata hivyo Shabiby na Kimbinyiko washateka soko...juzi Shabiby kaingiza nane mpya...nani apande "sufuria" ambalo ndani tetenus tupu...abadili mtazamo
..
 
SGR inaanza kazi mapema waambie wajiandae kisaikolojia.niliwahi kusema mabank yawahi kushika chai mapema vinginevyo mabank yakichelewa yatashika manyoa
 
Zama za "Masufuria" zimeisha..siku hizi tuko na Chinese buses...hata hivyo Shabiby na Kimbinyiko washateka soko...juzi Shabiby kaingiza nane mpya...nani apande "sufuria" ambalo ndani tetenus tupu...abadili mtazamo
..
Hivi Kimbinyiko bado analisha kambi za Jeiwiii!? Mzee wa "muchele" nasikia anadunda barabarani balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom