CHAMI siwezi kutoa MAJI Mbinguni...

TOFU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2012
Posts
572
Reaction score
196
Nimeshtushwa sana na Kauli za Mbunge wangu niiliemchagia Kwa kura yangu akiwajibu wananchi wake wanaolalamikia ahadi alizotoa kuusu MAJI ya umwagiliaji alizowaahidi wananchi wake wa KAHE wakati akiomba kura..
Nanukuu..
Mimi kama Mbunge hakuna vile ninaweza kutoa MAJI Mbinguni ...
 
Hahaha si mlishaprwa kofia na kanga na vitenge?
Ndio imetoka hio
 
Aachie watakao toa ardhini ofisi
 
Ccm ni janga kama majanga mengine Kwa hili taifa..
Pole sana kinya
 
Mbona habari yenyewe waielezea kijuujuu kama vile liushabiki?
Ninavyo jua kuna watu kama ninyi ambao mgependa kutangaza shari kila kukicha na mtaenda kwa mbunge kulalamika toka asubuhi mkipata naye chai hadi mlo wa jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…