Nilisahau..kama kuna muislamu ana contacts za huyu kijana ani-pm,,ili tumuunganishe na ex- bad boy rapper aka-loon
nadhani atamshauri namna nzuri ya kujitoa kwenye makundi ya ajabu,muhimu afanye fasta maana kipindi hiki cha mfungo brother loon yupo free,kheri kubwa itapatikana inshallah