Chama tawala kweli mna mambo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama tawala kweli mna mambo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Calist, Feb 19, 2011.

 1. C

  Calist Senior Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku zote najiuliza lakini sipati majibu nisaidieni wa JF, hivi hawa sisiem kwanini walitumia mafweza meengi sana kwenye uchaguzi uliopita huku wakijua wana uwezo mkubwa wa kuchakachua matokeo ? Mi naona wangefanya kampeini za kawaida tu halafu mwisho wachakachue kama kawaida na tusingekuwa na wakati mgumu kifedha kama ilivyo sasa.
   
 2. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kumwibia mtu lazima uanzie mbali ili kama akili yake finyu asishitukie, ila bahati mbaya watanzania wameshitukia huo wizi.
   
Loading...