Mtaangaika sana kujibu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli Dr Slaa ni pandikizi la CCM ndani ya CDM.
Mtaangaika sana kujibu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli Dr Slaa ni pandikizi la CCM ndani ya CDM.
Mtaangaika sana kujibu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli Dr Slaa ni pandikizi la CCM ndani ya CDM.
Baada ya kusema haya imewsaidia nini ndugu zako kule kijijini?
Nape namtafuta aje na uthibitisho kuwa kweli Dr. na wengine waliwahi kuja lipia hizo kadi ktk office za CCM kwa hela zao halali.Nape katokomea.Wewe tuu ndio bado huja update Database yako km wana ccm wengine.
By the way Yeriko amethibitisho Nape ni CCJ kwa picture kali sana.
Mtaangaika sana kujibu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli Dr Slaa ni pandikizi la CCM ndani ya CDM.
Baada ya kusema haya imewsaidia nini ndugu zako kule kijijini?
Kazi ya pandikizi ni kuharibu mfumo usipate nafasi ya kukua. Vipi CDM mbona inakuwa siku hadi siku na kinara wa kushiriki harakati za kukikuza CDM ni Slaa yuleyule? Ukweli kwako kuwa Slaa ni pandikizi la CCM ndani ya CDM ni ujinga uliopitiliza.
CCM ni colletion ya watu selfish sana ndio maana wanahongeka kirahisi kwa mambo yanayo compromise uhai wa taifa na watu wanaowazunguka.Ni kma wanyama wasiopenda hata watoto wao.Ni viumbe ambao akili zao zimezimwa,sasa hivi bombo zao zinapokea na kutoa hisia za tamaa kma zilivyo na hakuna processing.
CHAMI , Mtu wa Shamba, Nicholasnina kadi zenu za CCM katika tawi langu hapa Mchafukoge.
Ni nyie tu kusema nitawalipia ada.
CCM njema atakaye na aje.
Yamewasaidia sana ndugu wa vijijini kuona ni jinsi mtu mzima kuwa muongo ni aibu; njia muongo ni mfupi daima penye ukweli uongo hujitenga
Sio kila anayeijua key board anaishi mjini!Mkuu Ritz
Yanga inakipiga na Azamu Mbagala; Refa ana hitima mchele na mafuta yametolewa na Bakhresa kweli ushindi upo hapo? Lugha hizi ingekuwa ni watu waCCM tumeshakula ban siku nyingi sana lakini ashakum si matusi acha mimi niwe hivyo kama Bw. Gwalihenzi anavyotaka; nakujibu sijawahi kuwa mchumia tumbo nafanya kazi halali kabisa; sijui mwenzangu mjini una shughuli gani?
Hahahahah ndugu zako wa kijijini wanaishi kwa matumaini ya kuwa wapinzani ni waongo
Imewasaidia mkate wa kila siku hapana shaka ?
kwani claim ya kulipiwa kadi katoa mwenye card?
Mwenye choyo aliyejipangia mshahara wa zaidi milioni 12 humuoni kwa kipi hasa mpaka ajilipe kiasi hicho; sijawahi kusikia mpigania uhuru akajipangia mshahara; kama ni kupenda watoto umesahau Slaa aliwakimbia watoto wake?
looh!! Mhe. hii picha imenifurahisha sana, hasa jamaa anavyojikuna hilo **** lake.
Ila, haingii akilini eti mtu aliyehama chama 20 yrs ago bado wajinga fulani wanataka kuuaminisha umma kuwa huyo mtu/watu bado ni mwanachama wako..!!
Nadhani ni wajinga, limbukeni, waliofilisika kimawazo na watu wa hovyo hovyo tu ndio wataamini porojo hizo.
Sio kila anayeijua key board anaishi mjini!