Chama tawala kuwalipia wanachama waliohama kadi zao-Ni aibu mbaya, ni fikra nyembamba.

Let's discuss this from party perspective manake hata ndugu yangu Mangula alijiuzia nyumba ya Chama pale Oysterbay jirani kidogo na jamaa zangu alikatiwa mpaka umeme na maji Baada ya kupata shavu ameunganishiwa umeme juzijuzi hahahah huyo alichoka kuliko .... Angalau kajenga shade ya kupark kakadu VX sasa Magogoni ndio makazi rasmi ya rais, lakini mbona anakarabatiwa mikocheni,msoga na kwingineko? Has anybody questioned it ? He deserve kukarabatiwa huko mikocheni na bagamoyo ili kwa hadhi yake akitoka aingie pazuri... Magogoni si nyumba ya kudumu Spike Lee Na kama una ushahidi wa kujengewa kwa Dr Slaa weka hadharani Mimi kiu yangu, let's skip partisan politics tujikite kwenye utekelezaji wa majukumu
Kinana naye anaanza karabati magofu yake mjini Arusha,ili papatikane nyumba za wapangaji.CCM hawawezi kuja ni kitu kiya au hata fanya bishara halali kwa mafanikio.
 
Unashughuli gani hapa mjini?
Inahusiani vipi na kuona huu ujinga wa ccm wa kulipia watu wasio wanachama hai michango kama CUF walipotumia mchungaji feki.huu ni ushenzi na aibu, na karaha kubwa yenye kudhalilisha hadi taifa.Hivi hakuna kipengele cha ethics? Alipokuja lipia Nape ahkumpeleka halmashauri kuu akajibu tuhuma za kusaliti na kukiumiza chama kama wengine?Hakugomewa kulipa kwanza hadi wakuu wamwajibishe?
 
Mpigania ukombozi anajipangia mshahara? Huo ukombozi ukipatikana atajipangia kiasi gani?
Nani alikwambia kuwa ukipigania ukombozi usilipwe mshahara, unadhani kuwa mpiganaji huna mahitaji au ilitaka afiche kam ccm wanavyoficha. kazi anayofanya ya kuinyoosha ccm ninzuri tena alisitahili malipo zaidi ya hayo anayopata.Kumbuka pia ukiwa chade
ma hujipangii mshahara hujipangii, kutoa mapendekezo siyo kujipangia, hata wewe ukienda usairi unaulizwa tukulipe ngapi
 
Nape namtafuta aje na uthibitisho kuwa kweli Dr. na wengine waliwahi kuja lipia hizo kadi ktk office za CCM kwa hela zao halali.Nape katokomea.Wewe tuu ndio bado huja update Database yako km wana ccm wengine.


By the way Yeriko amethibitisho Nape ni CCJ kwa picture kali sana.

Kwa jinsi Dr. Slaa anavyowanyima Magamba usingizi, si kitendo cha kulipia kadi tu hata siku angepita nje ya ofisi za magamba lazima wangempiga na picha na kudai kwamba anaikubali (kwa mbaaali!!!) CCM.
Wameacha kutumia kichwa kufikiri wameamua kufugia nywele na badala yake wameyaongezea makalio kazi ambazo zilitakiwa zifanywe na kichwa.
 
sisi tunakula na kusaza karibu sana
Ni kawaida yenu kujiangalia nyie wenyewe, ukishiba wewe ni Watz wangapi wanalala njaa? Au hilo haliwahusu? Kwakuwa wewe unakula na kusaza hutaki kufikiria ndugu zako wengine ambao ni Watz maskini wanavyokosa hata nguo na chumvi za Shs 100 kiasi kwamba ndio mmegeuza vitu hivyo kuwa anasa kwao kwa kuwahonga wawape kura? SHAME ON YOU!
 
Nnachompendea Nape ni kuitawanya CCM na kuipa makundi ambayo athari zake zitaonekana kwenye mbio za urais 2015.., huyu mtoto asiwaumize kichwa kabisa,, yaani mimi huwa nafurahi kweli anapobwabwaja namna hii,, trust me, anasaidia upinzani bila kujua kwa sababu hana akili

kwa matamshi mbalimbali ya Nape na mwenzie Mwigulu Nchemba, watu wenye uelewa wamekua wanaichukia zaidi CCM na hata wale walikua 50-50 wanaichukia zaidi.., kwa mfano, badala ya kuzungumzia msimamo wa chama chake kuhusu walioweka mabilioni nje(hoja yenye manufaa kwa taifa kwa sasa) yy anaenda kuzungumzia kadi ya slaa! Yeye mbna alianzisha CCJ,
 
hivi mwana CCM anayedhani kuwa kila mpinzani ni mamluki wa CCM na kuona fahari kw ahilo anaweza jiita mzalendo, anaweza jiita anjaua anachofurahia au kisema.Naona ni kuidhalilisha sana CCM kama kazi yake ni kuvibomboa vyma vingine na si kupambana kw anjia sahihi ili ibaki madarakani.Rais ksthibitisha kuwa wanategemea polis, mahakama, tume na mamluki.Ila hakuna walipoweza thibitisha kuwa waliweza fanya kazi kwa bidii na ku achive chohte cha maana na kupata ushindi halali. Kw alaiyeskia mama kilango alivyolia kama changu aliyedhulumiwa malipo pale aliposikia kuwa ma DC wasishiriki.mama alishajua kuwa pumzi ingewatoka.Kwa bahati CDM wakawahurumia na kuachana hilo suala, huku wakisema wameona lisiwe la msingi hivyo wakati wanaweza fanya mengine ya kuwasaidia watanzania. Ni ngumu snaa CCM kuwa na fikra sahihi kwa vile wamezoea kubebwa hadi wakaamini kuwa baadhi ya vitu ni haki yao.Sasa wandhani ni shahihi sana kumplitia mtu kadi, ili waweze mchafua.
 
Ni aibu kubwa kwa mtu anayejiita kiongnzi wa upinzani Tanzania kumiliki kadi ya Chama tawala CCM. Uwezi kutumikia mabwana wawili.
 
Ni aibu kubwa kwa mtu anayejiita kiongnzi wa upinzani Tanzania kumiliki kadi ya Chama tawala CCM. Uwezi kutumikia mabwana wawili.
majibu ya kukariri ndio shida zake hizo.utareplay sana. By the way Karume anayo ya ASP,na Shein pia+
 
Mama
Naogopa kujibizana na wanawake naweza kusema maneno ukapata tumbo la hedhi; sijui ni kipi ambacho kinachomuhusu Slaa kipo kizani; kama ana uhakika wa kuingia ikulu 2015 angesubiri naye anagejengewa baada ya muda wake wa uraisi; anajua fika hilo halipo ndiyo sababu anaharakisha kabla Chadema hawajashtuka!

Hakuna jipya utakalolisema ambalo sijalisikia kabla, na kuanza kukimbilia kutoa maneno makali ni kupungukiwa hoja

FACT ; mangula alikatiwa umeme oysterbay miaka 2 nyuma, leo hii baada ya shavu la CCM ameweza kurudishiwa na kuhudumiwa kama kiongozi, vilevile amejiuzia nyumba ya Chama hapo Oysterbay, miaka yote walikaa viongozi wa Chama, hahahhah so ni heri anayejengewa kama wanaomjengea wameridhia

Kwavile CCM ndio ina hatamu za nchi hii tuelezeni utekelezaji wa sera, msigeuke wapinzani kwa kuanza kutafuta kuchafua "mtu' nyie semeni nyie kama CCM utekelezaji umekuwa kwa kiwango gani

Mambo ya tumbo la hedhi hayahusiki kabisa, don't get personal get real
 
Ni aibu kubwa kwa mtu anayejiita kiongnzi wa upinzani Tanzania kumiliki kadi ya Chama tawala CCM. Uwezi kutumikia mabwana wawili.

Ni aibu kubwa sana ! Dr Slaa arudishe kadi ya watu...it will make CCM feel better

Ni aibu iliyokithiri kwa mtu mwenye nyadhifa ya itikadi na uenezi kumiliki kadi ya CCJ.....hebu irudishwe pia tuanze moko
 
Hakuna jipya utakalolisema ambalo sijalisikia kabla, na kuanza kukimbilia kutoa maneno makali ni kupungukiwa hoja FACT ; mangula alikatiwa umeme oysterbay miaka 2 nyuma, leo hii baada ya shavu la CCM ameweza kurudishiwa na kuhudumiwa kama kiongozi, vilevile amejiuzia nyumba ya Chama hapo Oysterbay, miaka yote walikaa viongozi wa Chama, hahahhah so ni heri anayejengewa kama wanaomjengea wameridhia Kwavile CCM ndio ina hatamu za nchi hii tuelezeni utekelezaji wa sera, msigeuke wapinzani kwa kuanza kutafuta kuchafua "mtu' nyie semeni nyie kama CCM utekelezaji umekuwa kwa kiwango gani Mambo ya tumbo la hedhi hayahusiki kabisa, don't get personal get real
emeona eh...CCM huwa akili zao ni kubebewa ndio maana watu wa nje wanatudharau baada ya encounter na junks za CCM wakidhani watz wote ni hovyo hivyo.
 
Huna haja ya kumsubiri Nape muulize mwenye kadi

mwanasharia wa ccm kwenye kesi ya lema na nyumba ndogo ya lowasa na kinana alipobana kuhusu ushahi akasema ushahidi wanao wao ya chadema..yaani wewe umshitaki x na kisha x huyo huyo alete ushadi ama kwenye akili za wengine huzi hifadhi kwenye tundu la kutolea uchafu..
 
Kwani,dr slaa kuendelea kushikilia kadi ya ccm imekuwa kikwazo namna gani katika utekelezaji wa sera zao na ilani zao za uchaguzi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom