GE2025 Chama Makini tutatoa posho kwa wazee kila mwezi laki moja

GE2025 Chama Makini tutatoa posho kwa wazee kila mwezi laki moja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho, Coaster Kibonde, serikali yao itatoa laki moja kila mwezi kwa wazee wote wa Tanzania

Hayo yalielezwa jana wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho uliofanyika katika viwanja vya Manzese, Jijini Dar es Salaam.

 
Back
Top Bottom