Chama kisipofanya uchaguzi kwa mujibu wa Katiba yake,Msajili anatakiwa achukue hatua gani?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,919
Kwa ujumla,katika swala zima la chama cha siasa kutoheshimu katiba yake katika kupata viongozi, Msajili wa Vyama vya Siasa anasimama wapi?

Viongozi wa chama hupatikana kwa kufuata katiba ya chama au kwa kufuata utaratibu watu waliojiwekea hata kama utaratibu huo hauko kwenye katiba ya chama husika?

Naomba kufahamishwa.
 
pia chama kutofuata taratibu za kumpata mgombea wake wa kiti cha urais, ni ipi nafasi ya msajili wa vyama vya siasa??
Ukijibu hapa utapata na jibu la swali lako.
Vinginevyo, kaeni mkao wa kinyolewa na wembe bila maji.
 
Mbona CCM hawatangazi tarehe ya kuchukua na kurejesha fomu?
Daadeki, naona mashimo ya panya yote yamezibwa safari hii tena sio kwa mkate, kwa zege na panya wako shimoni bado, hapa patamu sana. Naona mnalia lia kabla jamaa hajashika usukani, hapa ni T 2016 JPM.
 
the same question applies to Chadema. sikumbuki lini uchaguzi ulishafanyika zaidi ya kuhalalisha uenyekiti wa kub...
 
waulize chadema swali hilo kama utapata jibu!!2020 mhombea Wa ukawa ni !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????
 
pia chama kutofuata taratibu za kumpata mgombea wake wa kiti cha urais, ni ipi nafasi ya msajili wa vyama vya siasa??
Ukijibu hapa utapata na jibu la swali lako.
Vinginevyo, kaeni mkao wa kinyolewa na wembe bila maji.
Hii ni hoja ya kijinga isiyo na nafasi hata ya kujadiliwa humu , si kila uzi ni lazima uchangie .
 
Hii ni hoja ya kijinga isiyo na nafasi hata ya kujadiliwa humu , si kila uzi ni lazima uchangie .
Angalau jibu unalo, yaani wewe unaona sawa kuuliza swali wewe ukiulizwa swali hilo hilo ni la kijinga, bavicha at their very best!
 
Hapa wanamiminika kutetea vibarua vyao, mpaka simu wanapigiana almuradi wapoteze maana na mantiki ya hoja yako.

KANAKWAMBA CCM INAFANYA MAMBO YAKE KWA KUIIGA CHADEMA.

Hivi mwenyekiti wao asingekuwa rais wangepeanaje uenyekiti.
 
[quote uid=67846 name="Freeland" post=16840540]hahaha. ..wonders never end...hivi wewe Ndiye smartest guy kwa ccm[/QUOTE]<br />Mshauri mbowe awajengee ofisi ya chama basi,

Miaka 20 chama hakina ofisi ,hii aibu jamani .

Hivi mbowe hela ya ruzuku anapekeka wapi?? Au ndio zinalipia maandamano
 
Msajili azimgatie chama kufuata katiba hicho sio chama cha usajil wa muda kama katiba inakiukwa laasivyo awafutie usajil Chan's hicho
 
Back
Top Bottom