Elineema J Mosi
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 808
- 148
Ndugu wana jf. Mm n mtanzania na sijajiunga na chama chochote,Nataka kujiunga na chama makini ambacho kwao hawana ufisadi na Rushwa wanaipinga kwa dhati. Wadau nijiunge na chama gani?

Mwambie tu ni CCM usimpe kazi hiyo ni ngumu kwake ndo maana ametuulza great thnkersFanya fafuatayo;
1. Tafuta ilani ya kila chama, ISOME.
2. Oanisha mwenendo wa chama na ilani yake.
3. Angalia viongozi wa juu wa KILA chama, na uwajibishwaji
wa viongozi wabovu wa kila chama.
4. Kupitia sehemu mahalia (local) yaani jimboni angalia ahadi zilizotolewa na Viongozi wa awamu angalau tatu zilizopita(kwa maana ya kiongozi mkuu wa chama alipokuja jimboni (KAMA ALIKUJA) na mbunge wake, kwamba ni ahadi ngapi zilizotolewa na utekelezwaji wake (angalau kwa asilimia).
5. Angalia Bunge la JMT uwakilishi wa mbunge wako wa sasa na wabunge wa majimbo mengine, ukiangalia
-hoja zinavyojengwa
-maswali yanayoulizwa
-majibu yanayotolewa
-umakini wa wabunge
-nidhamu ya wabunge(ndani ya bunge)
Baada ya hapo nina uhakika kama unania ya DHATI ya kutafuta chama, utakuwa umekipata.