Chama cha wasiokuwa na ajira CWA

Chama cha wasiokuwa na ajira CWA

Nashauri kuwepo na chama cha wasiokuwa na ajira kitakachowatetea na kuwapigania vijana kupata ajira,uratibu wake uanzie hapahapa Jf
Nawasilisha

Nikiwa Mwenyekiti wake ( Taifa ) wa ' mpito ' na baadae wa ' jumla ' nitashukuru na kufurahi sana Mkuu. Nipigie chapuo / pande tafadhali.
 
kwa hyo na wewe umeamua kuwa m/kiti wa wasio na ajira , ule vimichango vyao na wewe uwe umepata ajira hahah , ok do it
 
Wasio kuwa na ajira nikama mgeni kutoka mkoani aliye ambiwa na mwenyeji wake kuwa njoo dar nitakupokea halafu alipofika dar asimuone mwenyeji wake na namba alizopewa akizipiga hazipatikani kwamaana nyingine ametalekezwa
 
Wengi wanaoponda huu uzi ni wale ambao kwa namna moja au nyingne wapo katika ajira rasmi, mi naunga mkono hoja, mchakato uendelee
 
Ndugu maana ya kutokua na ajira unaelewa maana yake? Kuna formal na informal jobs ila zote zinatambuliwa kama ajira whether za kujishikiza, za muda mfupi, muda mrefu etc etc ila uzi wa huyu jamaa ni chama cha WASIOKUWA na AJIRA something which I disagree... Ukishabeba ungo ukauza karanga tayari una ajira, acheni kuchanganya maana otherwise aseme chama cha wasiokua na ajira rasmi "informal workers" ambacho hicho chama kipo na kinatetea maslahi ya informal workers...out of that nasimamia hoja yangu huu uzi hauna maana ni furahisha genge
 
Inaonekana upo kwenye hicho chama ambacho hata humu hakijulikani,na hamna msaada wowote,ila mnapiga pesa
 
Back
Top Bottom