Chama cha wasiokuwa na ajira CWA

Chama cha wasiokuwa na ajira CWA

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Nashauri kuwepo na chama cha wasiokuwa na ajira kitakachowatetea na kuwapigania vijana kupata ajira,uratibu wake uanzie hapahapa Jf
Nawasilisha
 
Kwani ajira maana yake ni nini? Asiyekua na ajira ni mtu wa namna gani? Ukiweza jua maana yake basi hakuna umuhimu wa huu uzi
 
Botswana,chama hicho kipo na kina raisi,siyo jambo geni
 
Botswana,chama hicho kipo na kina raisi,siyo jambo geni
Sababu kuu ni kwamba most of us hatuelewi maana halisi ya "wasiokuwa na ajira" ila wakielewa na chama hicho hakitakua na maana tena
 
wasiokuwa na ajira inajumuisha makundi haya: 1. Vibarua 2. Wenye mkataba wa muda mfupi 3. Ajira zisizo rasmi kama vibaka, matapeli, wezi n.k 4. Wasio na ajira yoyote ile.
 
Sababu kuu ni kwamba most of us hatuelewi maana halisi ya "wasiokuwa na ajira" ila wakielewa na chama hicho hakitakua na maana tena
Acha kuvunga kama huelewi ama unajua sana,ukiajiriwa wewe mshukuru Mungu,hapa namaanisha ajira rasmi
 
Nashauri kuwepo na chama cha wasiokuwa na ajira kitakachowatetea na kuwapigania vijana kupata ajira,uratibu wake uanzie hapahapa Jf
Nawasilisha
Hakuna mtu ambae Hana ajira bhana, kila mtu anaetegemea kujitunza anakula ndio naaana hafi hivyo huwezi kula Kama huna ajira, pia utofautishe watoto ambao ndio wanatunzwa Lakini mtu mzima yoyote Yule lazima anajitunza Kwa namna moja au nyingne hivyo hata Kama unafanya kazi Ya ya kupata pesa baada Ya miezi sita hiyo unayofanya ni ajira brooo
 
Kwani ajira maana yake ni nini? Asiyekua na ajira ni mtu wa namna gani? Ukiweza jua maana yake basi hakuna umuhimu wa huu uzi
Hakuna umuhimu wa huu uzi,
Ila kuna umuhimu wa hicho chama,
CWA Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Napendekeza me niwe mwenyekitu
Siyo mwenyekiti tu,kutakuwa na rais,katibu mkuu na wajumbe, mi nashauri bila kupoteza wakati,tupange tarehe ya kukutana,ikiwezekana makao makuu ya nchi DODOMA ili kufanyike uchaguzi wa viongozi
 
Nashauri kuwepo na chama cha wasiokuwa na ajira kitakachowatetea na kuwapigania vijana kupata ajira,uratibu wake uanzie hapahapa Jf
Nawasilisha

Agenda ni zipi mkuu? Weka hata tatu.
 
Sawa mkuu, lakini bado ujazungumzia agenda za chama chako. Ngoja nikusaidie kidogo.

1. Kuongeza nafasi za ajira Kwa vijana.
2. Kuwapa mafunzo ya kuwasiliana kupata ajira. Kama new online platforms, eg www.monster.com, www.cvlibrary.com nk
3. Kuwapa mikopo wafanya biashara wadogo ili waweze kufungua biashara zao.

4. Kuongeza nafasi kwenye technical college na elimu ya kilimo.

5. Kubadilisha mfumo wetu wa elimu hata ukimaliza Class 7 au form four use na uwezo wa kujitegemea kutoka a na elimu uliyoipata.
 
Siyo mwenyekiti tu,kutakuwa na rais,katibu mkuu na wajumbe, mi nashauri bila kupoteza wakati,tupange tarehe ya kukutana,ikiwezekana makao makuu ya nchi DODOMA ili kufanyike uchaguzi wa viongozi
Tuanze kuhamasishana kwwnza
 
Hii inshu kama mpo seriously me nipo tayari kushirikiana but kama n masihara ty duh
 
Back
Top Bottom