Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,685
- 3,438
Chama cha wamiliki wa mabasi Taboa wamegoma kulipa ongezeko la ushuru wa kuingia kituo kikuu cha mabasi ubungo huku wakitishia kusitisha safari endapo watalazimishwa kulipa ambao umepanda kutoka elfu nne hadi shilingi elfu saba kwa kila basi kwa madai kuwa mazingira ya kituo hayaendani na tozo hiyo.