Sikonge Platinum Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,635 Reaction score 6,238 Jul 10, 2013 #1 Hiki ni chama gani jamani? Huu ujuzi wao unatisha maana si unaweza kuliwa Pua au uso?
Komeo JF-Expert Member Joined May 3, 2011 Posts 2,498 Reaction score 1,172 Jul 10, 2013 #2 Hizo jezi mbona kama za chama chetu? Au ndo ile kamati yetu ya ufundi inafanya vitu ili kuwezesha wizi wa kura ufanyike bila kukamatwa?
Hizo jezi mbona kama za chama chetu? Au ndo ile kamati yetu ya ufundi inafanya vitu ili kuwezesha wizi wa kura ufanyike bila kukamatwa?
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jul 10, 2013 #3 mhhhhhhhhhhhhh......ngumu kumesa
Mkuu wa chuo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 7,629 Reaction score 5,347 Jul 10, 2013 #4 sasa we unamwambia mtu akupige picha halafu una upload unauliza hiki ni chama gani, wakati wewe ndio unatakiwa utuambie hapo ulikuwa wapi?
sasa we unamwambia mtu akupige picha halafu una upload unauliza hiki ni chama gani, wakati wewe ndio unatakiwa utuambie hapo ulikuwa wapi?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Jul 10, 2013 #5 Cha Chi Mu at work
Makoo JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 409 Reaction score 400 Jul 10, 2013 #6 Unauliza chama wakati SARE zake zinajieleza ni chama gani.
cuchi JF-Expert Member Joined Oct 1, 2012 Posts 218 Reaction score 74 Jul 10, 2013 #7 Makoo said: Unauliza chama wakati SARE zake zinajieleza ni chama gani. Click to expand... Umeonaa eeehhh hyo rangi tu nijibu tosha
Makoo said: Unauliza chama wakati SARE zake zinajieleza ni chama gani. Click to expand... Umeonaa eeehhh hyo rangi tu nijibu tosha
MARCKO JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 2,258 Reaction score 275 Jul 11, 2013 #8 FC flani hiyo
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 8,070 Reaction score 3,792 Jul 11, 2013 #9 bila kupunguza uongo hao ni checheme