McCain
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 1,169
- 517
Chama cha walimu Tanzania ni chama kilichoanzishwa kwa kufuata sheria ya vyama vya kijamii ila cha ajabu walimu walioko nje ya ajira za serikali hawatambuliki na CWT wakati vyama vya wanasheria/TLS/ kuna waloajiriwa serikalini na wale wakujitegemea, chama cha madaktari nacho vile², makandarasi nao vile vile, wahasibu, madereva.
Nyie walimu mjichunguze sana mwalimu wa st. Joseph hana tsd no why?
Nyie walimu mjichunguze sana mwalimu wa st. Joseph hana tsd no why?