Chama cha Scout

Machepele

JF-Expert Member
Jun 28, 2019
289
419
Salaam!

Nawasalimu kwa Jina a Jamhuri ya Muungano wa Tanzania enyi watanzania wenzangu.

Naomba kuuliza kuhusu chama cha Scout.

Kwanza ni chama kinacho jihusisha na nini?

Pili ni nini madhumuni ya chama hiki kama kuna mtu walau anafahau kuhusu historia yake mwanzilishi, kinafanya kazi chini ya taasisi gani nk..

Machepele Tanzania
 
Back
Top Bottom